Mwaka wetu ni 2015 na blog yetu ndo hii utaona harakati za wagombea na wapiga kura kuanzia sasa mpaka itakapofika siku ya uchaguzi mwaka 2015 hii ndo sk network tutakupa kila kitu kupitia hapa kama unampango wa kugombea 2015 Tangaza NIA YAKO YA KUGOMBEA nasi IWE UBUNGE,UDIWANI,URAIS sk network tutaziwasilisha kwa wananchi kupitia blog zetu.Huu ni wakati wako kufanya kili uchoamini ni bora kwako na taifa zima kwa jumla.Jipange sasa angalia update kwenye hiii blog mara kwa mara.www.uchaguzi2015.blogspot.com chini ya sk network Tanzania
No comments:
Post a Comment